Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Nimejaribu Kupata Katiba Ya Shirikisho la Wanamuziki Tanzania na Nikaisoma Hyo Katiba Yao, Hakuna Pahala Popote anapotajwa Mtu Kuwa Na Cheo Cha Mhamasishaji.
.
Katiba Yao Pia Ina Mapungufu Mengi Sana Ingawa Naainisha Machache.
.
Katiba Hii Hailezi Kwamba Viongozi Wa Shirikisho wanapashwa Kutoka miongoni mwa Vyama Vinavyounda Shirikisho.
.
Juzi nimesoma Gazeti La Mwanachi akatokea jamaa anaitwa Siza, ambae anasema Yeye ndio Muenezi Kwa Mujibu Wa Katiba Ya Shirikisho.
.
Then akasema STeve Mengere ameteuliwa Kama Mhamasishaji Wa Shirikisho.
.
Lakini Ukisoma Katiba Ya Shiriko Hakuna Cheo Cha Mhamasishaji.
.
Katiba Inawataja Watu Wa3 kama Ndio Wanasimama kama Wasemaji.
1. Rais
2. Katibu wa Itikadi na Uenezi
3. Katibu wa Uhusiano na Mawasiliano ya Kitaifa na Kimataifa.
.
So Wasanii Wanapashwa Waulizwe Bodi, Rais, Katibu Mkuu Wa Shirikisho, Hiki Cheo Cha Uhamasishaji Kipo Kwa Mujibu Wa Katiba Ipi?.
.
Katiba Yao Inamzungumzia Mtu anaitwa Naibu Katibu Mkuu.
.
Hyu NKM hatajwi na Katiba Ya Shirikisho kama Kiongozi Wa Shirikisho.
.
Aliepewa mamlaka Ya Kumteua NKM ni Katibu Mkuu Wa Shirikisho.
.
Sasa Kiongozi na Msaidizi Mkuu Wa Katibu Mkuu Wa Taasisi Anateuliwaje na Katibu Mkuu?.
.
Wafanye Marekebisho Makubwa ya Katiba Yao.
.
Hili la Steve Mengele limewapa Nafasi ya Kuisoma Katiba na Kutoa Mawazo Yao. [emoji120][emoji120]
.
Pia Katiba ya Shirikisho haisemi Msemaji Wa Shirikisho Ni Nani.
.
Sehemu ya Saba Ya Katiba Ya Shirikisho inamtaja Rais Wa Shirikisho Kama Msemaji wa Shirikisho, Nanukuu
7.1.3 Atakuwa msimamizi na msemaji mkuu wa shughuli zote za Shirikisho walau awe na elimu ya kidato cha nne.
.
Pia Sehemu Ya Saba hyo² inamtaja Katibu Mkuu wa Shirikisho Kama Msemaji wa Shirikisho, nanukuu.
7.3.9 Atakuwa msemaji mkuu wa shughuli za siku hadi siku za Shirikisho
.
Pia Sehemu hyo ya Saba inamtaja Katibu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kitaifa na Kimataifa Nanukuu pia
7.5.5 Atakuwa Msemaji wa Shirikisho na muandaaji wa matukio yenye kuleta tija na mahusiano kitaifa na kimataifa
.
Kimsingi Hapa Kuna Mkanganyiko Mkubwa.
.
Katibu Hii Ya Shirikisho haielezi ni Wakati Gani Rais anazungumza Habari za Shirikisho, ni Wakati Gani Katibu Wa Shirikisho anazungumzia pia Habari za Shirikisho, Hata Huyu Katibu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kitaifa na Kimataifa Haambiwi ni Wakati Gani Yeye Anazungumzia Habari za Shirikisho.
.
Addo niliona anaongea Kibabe Lakini hajui Kwamba anawaongoza Watu Ambao Wanawakilisha vyama Vyao.
.
Katiba Hii Haielelezi Idadi ya Wanachama wanaopashwa Kutoka Kwenye Vyama Vyao Kwa Ajili ya Uwakilishi ndani ya Shirikisho.
.
Nadhani Hii Katiba iliandaliwa kama Zimamoto Maana mmmh
.
By the way I stand to be corrected Guys [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app