Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Jun 2, 2014 #1 Nimesoma kupitia kurasa za michezo kwamba eti katiba za soka (vilabu, shirikisho na FIFA) zinakataza masuala ya soka kupelekwa mahakamani ilihali Katiba ya nchi (JMT) inasema kwamba Mahakama ndicho chombo cha juu cha utoaji HAKI
Nimesoma kupitia kurasa za michezo kwamba eti katiba za soka (vilabu, shirikisho na FIFA) zinakataza masuala ya soka kupelekwa mahakamani ilihali Katiba ya nchi (JMT) inasema kwamba Mahakama ndicho chombo cha juu cha utoaji HAKI