Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi ccm wanaogopa nini kusubiri muda rasmi , lakini Je hawa watumishi wa umma wanachofanya ni sahihi ?Compaign zimeanza?
Judge Mutungi naye ni mtumishi wa umma?Hivi ccm wanaogopa nini kusubiri muda rasmi , lakini Je hawa watumishi wa umma wanachofanya ni sahihi ?
Watumishi wengine wana akili hawawezi kufanya jaribio la kuchangia mgombea wa chama kingine tofauti na CCM ,kiufupi wanajitambua na wanajua hatari yake,wakichanga ni kwa mgombea wa CCM tu.Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .
Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la
Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka .
Naomba Kuwasilisha
Kila siku hapa JF wewe unadai katiba mpya kumbe hata iliyopo huijui. Ndio maana Samia anasema tuelimishane kwanza kwa miaka miwili mitatu kuhusu katiba, kabla ya kudai katiba mpyaTumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .
Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la
Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka .
Naomba Kuwasilisha
Mkuu, hao ndiyo wanaweza kuwa ni walimu kweli, lakini ni makada wa CCM ambao wanafanya hivyo kimkakari kwa malengo ya kupenyeza agenda ya siri ya kisiasa kuwa Rais anaungwa mkono na kada ya walimu nchini.Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .
Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la
Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka.
Naomba Kuwasilisha
HIzo pesa hazijatoka kwenye mfuko wa chama cha walimu!Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .
Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la
Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka.
Naomba Kuwasilisha
Walimu ni kundi la watu wajinga sn wasemehe bureTumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .
Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la
Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka.
Naomba Kuwasilisha
Noma sanaBongo sheria zinatekelezwa kwa utashi wa mtu na viongozi. Kifupi bongo hatuna taasisi za maana kujenga nchi, bali ni kusogeza siku tu