Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
Hujambo ndugu yangu, kwa almost two weeks nimekuwa nikisoma katiba za baadhi ya mataifa ya kiafrika nilianzia ya Mauritius nikaenda Angola, nikaenda Cameroon, nikaja kwa Wahabeshi nikashukia kwa akina Amoro nikagundua kuwa katiba yetu ni nzuri sana sana, tatizo lililopo Tanzania ni watu hawasomi kwa kuelewa, pia wapo watanzania wepesi kuchotwa akili bila kugundua kama anachotwa kama ACACIA ILIVYOMCHOTA MGOMBEA WETU WA KUTUKANA.
Someni katiba na kuelewa kisha kasome za mataifa mengine.
Someni katiba na kuelewa kisha kasome za mataifa mengine.