Katiba ya TFF ilipitishwa KI DIGITALI? Sheria inasemaje?

Katiba ya TFF ilipitishwa KI DIGITALI? Sheria inasemaje?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Ninafuatilia kwa karibu kuhusu sakata la TFF, Jana Tenga alinukuliwa akisema kwamba hakukuhitajika watu kukusanyika kuipitisha Katiba ya TFF kwani teknolojia ya kisasa inaruhusu hivyo...kwamba wajumbe walipelekewa na kurudisha majibu kidigitali

Mwanasheria mwingine anasema kwamba Teleconferencing haipo katika Katiba ya TFF kwani marekebisho yoyote ya Katiba yanatakiwa yafanyike "at' the General Asssembly na sio by the GA.......Yaani ni lazima watu wakusanyike na kupitisha Katiba

Sakata zima linaonekana kua na ,mkanganyiko mwingi wa kisheria

Wadau tiririkeni zaidi hapa maoni yenu
 
Back
Top Bottom