Katiba ya vyama au ya watatanzania?

Katiba ya vyama au ya watatanzania?

kigumbe

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
168
Reaction score
63
Wana jamii naomba mawazo yenu hivi kwanini swala la katiba mpya vyama vya siasa wamechukua zaidi jukumu la tume? Watu wanazunguka nchi nzima sasa sijui kuna maslahi gani binafsi mpaka wenzetu hawalali kwa hili.
 
Back
Top Bottom