kigumbe Senior Member Joined Oct 26, 2013 Posts 168 Reaction score 63 Oct 27, 2013 #1 Wana jamii naomba mawazo yenu hivi kwanini swala la katiba mpya vyama vya siasa wamechukua zaidi jukumu la tume? Watu wanazunguka nchi nzima sasa sijui kuna maslahi gani binafsi mpaka wenzetu hawalali kwa hili.
Wana jamii naomba mawazo yenu hivi kwanini swala la katiba mpya vyama vya siasa wamechukua zaidi jukumu la tume? Watu wanazunguka nchi nzima sasa sijui kuna maslahi gani binafsi mpaka wenzetu hawalali kwa hili.