ZANZIBAR ni nchi ambayo mipaka yake ni eneo lote la visiwa vya Unguja na Pemba na visiwa vidogo vinavyoizunguka ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na eneo lake la bahari. Je hivyo visiwa vidogo ni vipi? Je mafia na vingine vimo? Eneo lake la bahari linaishia wapi? Maana visiwa vidogo vipo vinavyokuja mpaka karibu na Dar es slaam, Lindi na Mtwara. Isije kuwa Tanganyika hatuna eneo la Bahari jamani!!