ZANZIBAR ni nchi ambayo mipaka yake ni eneo lote la visiwa vya Unguja na Pemba na visiwa vidogo vinavyoizunguka ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na eneo lake la bahari. Je hivyo visiwa vidogo ni vipi? Je mafia na vingine vimo? Eneo lake la bahari linaishia wapi? Maana visiwa vidogo vipo vinavyokuja mpaka karibu na Dar es slaam, Lindi na Mtwara. Isije kuwa Tanganyika hatuna eneo la Bahari jamani!!
kuna visiwa vidogo km mikadi na vingine ni jiwe tuu vyenye ukubwa wa fuso, ukubwa wa hiace na ukubwa wa beetle.Mafia si sehemu ya Zenj.
Nini sifahamu?kuwa kuna kisia kidogo km Hiace?Kweli utakuwa na kichaa...ukiingia Zenj kwa boat wile unavyoviona si mawe yaliyoota udongo, ni visiwa.The other side of zenj kuna visiwa vingi tuu...kunapofanyika scuba diving na dolphin riding....Acha mzaha, shauri au changia unachokifahamu.