Katiba yangu ya mwaka 2017

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
_KATIBA YANGU YA MWAKA 2017........_

_1.Usinipigie wala kunitxt ujinga wowote ule._

_2.Ukoina nimekukalia kmya fanya yako nina sababu zangu naomba ucniulize coz majibu yangu yatakukela_

_3.Mwaka 2016 nimejifunza mengi yupi ndugu yup I rafiki wa kweli ctak kukumbushwa undugu wala rafiki coz nawajua wote_

_4.Uwe rafiki au ndugu yangu ukiona sishughuliki naww usilazimishe ujue upo kwenye takataka nilizobeba 2016 ni lazima zitupwe_

_Nisameeee kwa usumbufu utakaojitokeza.........._

[emoji124]```Ambiele Kiviele```[emoji124]
 
Kifungu cha Kwanza ibara ya 3a bunge lako la kutunga sheria lipo live mkuu au unabana matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…