Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Wakuu
Katika mambo muhimu yanayotakiwa kujadiliwa na tumalizane nayo katika katiba ni Huu muungano tata.
Lakini hata wanasiasa na vyama wawe waupinzani au waliomo CCM kuna
Wanashindwa kutoa misimamo na mitazamo yao waziwazi sababu kisheria wanaweza kuwa wamefanya kosa tena kubwa.
Je katiba yenyewe inayotakiwa kurekebishwa inapokuwa kikwazo cha kuijadili tutapata suluisho kwa tume ya katiba tu ambayo inawajibika kwa Raisabaye naye anataiwa kufanya kazi chini ya katiba ?
Sina utaalam mkubwa na sheria lakini niipata wasiwasi nilipomsikia Maalim seif juzi juzi akiwahutubia watu akasema watu wapendekeze aina ya Muungano wanaotaka.
Kuna haja na umuhimu kuacha kuzunguka niandefu kama treni . suala la muungano Liamuiwe kwa kupigiwa kura ya maoni(Referudum-sjui kama niko sahihi)Kama kuu-vunja tuuvunje .
Nawasilisha kwa mjadala na kuelimsihana

- wanaoona ni bora kwa pande mbili za muungano muungano uvunjwe
- Waoapenda kuona kuna serikai Moja
- Wanaopenda kuona kuna serikali tatu
Wanashindwa kutoa misimamo na mitazamo yao waziwazi sababu kisheria wanaweza kuwa wamefanya kosa tena kubwa.
Je katiba yenyewe inayotakiwa kurekebishwa inapokuwa kikwazo cha kuijadili tutapata suluisho kwa tume ya katiba tu ambayo inawajibika kwa Raisabaye naye anataiwa kufanya kazi chini ya katiba ?
Sina utaalam mkubwa na sheria lakini niipata wasiwasi nilipomsikia Maalim seif juzi juzi akiwahutubia watu akasema watu wapendekeze aina ya Muungano wanaotaka.
- Je kama hawautaki Maoni yao yatazingatiwa ?