Katiba yetu ijadiliwe na kupitishwa na wananchi na siyo bunge,hyo siyo kazi ya bunge.

Katiba yetu ijadiliwe na kupitishwa na wananchi na siyo bunge,hyo siyo kazi ya bunge.

yohana charles

Senior Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
134
Reaction score
10
BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LINA KAZI KUU TATU..=KUTUNGA SHERIA,=KUISIMAMIA SERIKALI=KUPITISHA BAJETI...JE NI SHERIA IPI ILIYOTOA NGUVU KWA KUIJADILI RASIMU YA KATIBA BUNGENI NA KUIPITISHA? KATIBA INATAKIWA IJADILIWE NA WANANCHI KWA SABABU NDO WENYE KATIBA NA SIYO KUIPELEKA BUNGENI AMBAKO ITIKADI ZA VYAMA..KATIBA NI MALI YA WANANCHI NA WATANZANIA WANA MAMBO MENGI MAZURI YA KUCHANGIA KULIKO HAO WABUNGE...Tunaomba wananchi wa TZ wapewe nafasi ya kutengeneza katiba yao badala ya katiba kutengenezwa na wanasiasa...hao wabunge ni wanasiasa na wanatakiwa wachangia kama wananchi wengine yan wakiweka kofia zao za ubunge kando...jaman nchi hii ni ya watanzania na siyo ya vyama...msiwafanye watanzania wajinga kiasi hicho...
 
Back
Top Bottom