C.K JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 394 Reaction score 164 Nov 11, 2010 #1 Naomba usome kipengele hiki kinachozungumzia tume ya taifa ya uchaguzi - NEC kisha useme kama kuna mazingira ya uhuru wa tume. (attachment) Unafikiri tume inatakiwa iweje ili iwe huru? "Katiba tumeitengeneza wenyewe na tunaweza kuitengua wenyewe". Attachments Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.pdf Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.pdf 50 KB · Views: 166
Naomba usome kipengele hiki kinachozungumzia tume ya taifa ya uchaguzi - NEC kisha useme kama kuna mazingira ya uhuru wa tume. (attachment) Unafikiri tume inatakiwa iweje ili iwe huru? "Katiba tumeitengeneza wenyewe na tunaweza kuitengua wenyewe".