JIWE hatakubali katiba kama ile iliyopendekezwa ikubalike!!!!! Huoni ametunga sheria ya kujilinda akimaliza muda wake!! Ile rasimu ya katiba iliyopendekezwa na WARIOBA ilipendekeza kiongozi kuwajibika kwa maamuzi waliyofanya wakiwa madarakani!!! Hicho ndicho kilichowatisha wakina Vasco Dagama wakaiweka kwapani.