Enyi wawakilishi wa bunge la katiba mpya tuweke dhana potofu za uchama chini tujadili katiba kwa maslahi ya Tanzania. Laana itakupata wewe kwasababu utakachopitisha batili leo kitatumiwa na watanzania miaka hata 50 ijayo, hapo kuna wajukuu na vitukuu wako watakuja kandamizwa na hcho batil unacho pigia makofi leo kwa maslah ya chama. Laana ya kizazi cha kwanza pili na tatu itakua juu yako.