Mwenyekiti wa bunge la katiba naona kaanza safari kwa mguu wa kushoto, vitisho vingi naomba aelewe hutaweza kuzuia mafuriko kwa mikono, TANGANYIKA HAIZUILIKI
matokeo ya kalenga ndo mpango mzima kwa sasa. hapa huwaoni misukule kama akina yericko, pompo, nicholas, tumaini makene, ben wa saa 9 NA MISUKULE MINGINE YA KIBAVICHA?