Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
Shikamoooo kaaatiba!
HAPANA
HAPANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoooo kaaatiba!
HAPANA
Marahabaa! Nakushukuru saana kwa kutambua UKUU wa Katiba ya nchi yetu na kuipa heshima hiyo, sasa ipe KURA YA NDIYO muda ukifika. Kwa kuwa, sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu.
Eti Kura ya NDIYO?
Kwa misingi ipi walioiweka?
HAPANA
Sasa wewe Laizer! Eti Kura ya HAPANA ?
Kwa misingi ipi inayokupelekea kusema hivyo?
Kwa Sababu KATIBA Hainitambui kwa 99%
Sometime nafil me c MTANZANIA
Nimekubali kwamba ndg umechoka, Sababu yako hiyo ni dhahania kwasababu huzuiliwi kufikri na sii kila ukifikiri unaweza kufikiri sahihi, wewe fikra yako umekosea. Labda utuambie unawasiwasi gani unaposema Sometime nafil me c MTANZANIA Ki ukweli unaweza kuwa sii Mtanzania ndiyo maana unataka kuwachanganya Watanzania na kuwapotosha kuhusu mambo ya msingi ya nchi yetu. Hebu tuachie nchi yetu kachukue time zako nchini kwako. Waache Watanzania waisome Katiba Inayopendekezwa ili waamue hatima ya nchi yao.
Ninaposema Na fil kwamba me c Mtanzania ...
Nina akili TIMAMU Na Inafata kabisaaa BUT Kama sasa KATIBA yenyewe hainitambui wee unategemea kuwa nijiite mtanzania?
yani SHERIA Initambue tu Endapo nikikosea?
Mmmmh! Yani KATIBA Muitunge wenyewe then muivunje nyie na hakuna hatua itakayochukuliwa.?!! HUU NI ULEVI NA UFINYU WA MAWAZO.
KATIBA kitu gani bhana>>>> Mtu ameiba mabilion ya Pesa afu anatoa kashfa mbovu na hakuna uwajibishwaji?
Yani UWAJIBUSHWAJI Imebaki kwa watu wa chini tu?
Kaka Katiba ndiyo sheria mama na yeye atachukuliwa hatua kulingana na sheria na sio kukurupuka tu, wewe unaeukana utanzania wako nakuonea huruma kwani unakosa uzalendo na nchi yako, Katiba hii imemjali kila mmoja wetu hivi ukiikosa ujue unapoteza mambo mengi kwasabu hii tuliyonayo sasa ni ya zamani hivyo tunahitaji mpya yenye kujali makundi yote na ndiyo hii tumeipata, tuisome kwa umakini na kuielewa ili mwisho wa siku tukafanye maamuzi sahihi na sio mabishano yasiyo na sababu.
Yani hata kama hii KATIBA Ikipitishwa TANZANIA Itabaki kuwa ile ile
HUO NDO UKWELI
SO NDO UMESEMA NINI? MI nlidhani wewe na mimi tushirikiane katika kuelimisha umma juu ya mustakabali wa taifa letu hasa umuhimu wa kuwa na katiba hii yenye mambo mengi mazuri.
katiba ni nzuri imehusisha haki za makundi mbalimbali inastahili kupitishwa
You talk nothing
Sio nothing mwenzio kaisoma na ameielewa vema na wewe ni haki yako sasa kuisoma na kuielewa kisha kuwaelimisha wenzio kuhusu hii Katiba ili mwisho wa siku tupige kura sahihi tukiwa kama wazalendo.
haha! Tz hainaga WAZALENDO Asee
wapo WANYONYAJI Na wazee wa kufos
kwa sababu katiba hainitambui kwa 99%
sometime nafil me c mtanzania
Toa ushahidi wako sasa juu ya hilo, uspende kubashiri ndugu yangu.
katiba ni nzuri imehusisha haki za makundi mbalimbali inastahili kupitishwa