ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
Hivi kuna haja yakutumia katiba mpyakweli, Mbona Maguculi hakutumia katiba mpya na mambo yalienda ? Aundio kujiendekeza ?? Tunahitaji viongozi wa kujitoa na wala sio katiba. Watatupiga hela tu kwenye prosess, mtanzania hayuko huru kuundakatibampya tunadanganyana tu.