KATIBAMPYA

Wangapi wanaunga mkono juu yakatiba mpya ni upotevu wa mapato.


  • Total voters
    3

ThisisDenis

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
162
Reaction score
139
Hivi kuna haja yakutumia katiba mpyakweli, Mbona Maguculi hakutumia katiba mpya na mambo yalienda ? Aundio kujiendekeza ?? Tunahitaji viongozi wa kujitoa na wala sio katiba. Watatupiga hela tu kwenye prosess, mtanzania hayuko huru kuundakatibampya tunadanganyana tu.
 
Ni Lazima tuwe na katiba Mpya.
NARUDIA TENA ni Lazima tuwe na katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…