S Sijapewa username bado JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 1,775 Reaction score 2,891 May 6, 2025 #1 Katibu Mkuu wa chama Cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), mwalimu Kapange, amesema amechukizwa na Risala ya TUCTA ambayo ilikuwa imekaa kichonganishi kwa kumtaka Rais Samia kuvifungia vyama vya wafanyakazi nchini. Your browser is not able to display this video.
Katibu Mkuu wa chama Cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), mwalimu Kapange, amesema amechukizwa na Risala ya TUCTA ambayo ilikuwa imekaa kichonganishi kwa kumtaka Rais Samia kuvifungia vyama vya wafanyakazi nchini. Your browser is not able to display this video.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 May 6, 2025 #2 Hiyo risala ya TUCTA ni ya CWT, TUCTA walipaswa kuipitia na kuihariri risala yao. Hata hivyo Rais kawajibu vema wakakae na vyama vyote waridhiane
Hiyo risala ya TUCTA ni ya CWT, TUCTA walipaswa kuipitia na kuihariri risala yao. Hata hivyo Rais kawajibu vema wakakae na vyama vyote waridhiane
S Sijapewa username bado JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 1,775 Reaction score 2,891 May 6, 2025 Thread starter #3 LOTH HEMA said: Hiyo risala ya TUCTA ni ya CWT, TUCTA walipaswa kuipitia na kuihariri risala yao. Hata hivyo Rais kawajibu vema wakakae na vyama vyote waridhiane Click to expand... Wanagombea fito kujenga nyumba moja
LOTH HEMA said: Hiyo risala ya TUCTA ni ya CWT, TUCTA walipaswa kuipitia na kuihariri risala yao. Hata hivyo Rais kawajibu vema wakakae na vyama vyote waridhiane Click to expand... Wanagombea fito kujenga nyumba moja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 May 6, 2025 #4 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw