Pre GE2025 Katibu Mkuu, ACT, Ado Shaibu: Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi

Pre GE2025 Katibu Mkuu, ACT, Ado Shaibu: Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi. Hakuna aliyechuliwa hatua. Hakuna hata faili la uchunguzi lililofunguliwa. Kwa ukimya wake juu ya jambo hili IGP anatuma ujumbe kuwa Polisi wanashiriki wizi wa kura" Ado Shaibu, Katibu Mkuu, ACT Wazalendo ameyazungumza hayo wakati wa mahojiano na na Azam TV

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Kanyeshewa simba usizani paka fanya makosa utararuriwa ccm ni ileile.
 
Back
Top Bottom