Pre GE2025 Katibu Mkuu ACT Wazalendo: Pesa tutakazotumia kuendeshea Uchaguzi, ziko mifukoni mwa wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Yaani kwa kauli hii inaonekana hawa ACT kwanza kabisa watashiriki huu Uchaguzi na pa so far hawana hela za kuzunguka kufanya kampeni kufanya Uchaguzi.

============================================

Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema pesa za kufanikisha shughuli za uchaguzi zipo mikononi mwa wanachama, huku akiongeza kuwa wamejipanga vilivyo katika kukuza uchumi wa chama hicho.


Your browser is not able to display this video.
 
umeshafeli mmejiandaa kukuza uchumi wa chama siyo wa wananchi? halafu hizo hela unazosema ziko mikononi mwa watu mliwapa wawashikie au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…