Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

Mkuu angalia draft yako vizuri, look at what they are not showing us, that is the bigger picture! Focus on the kingmakers not the kings!
 
Mkuu pokea 👏💐🎖️
 
No time to waste!, Anamringi apandishwe cheo ashike nafasi ya chongolo!
 
Unaiba kura iwapo huna kura za kutosha, sisi tukiiba tutaishia kujiibia zetu. Hatuhitaji katiba ya kupendelea chama chochote, Bali tunataka katiba inayoheshimu matakwa ya wananchi sio ya kikundi fulani.
Hamjawahi kuwa na kura za kutosha na wengi wenu hawapigi kura hufurahia amsha amsha za kampeni mwisho wa siku hawana muda wa kupoteza kwenye fuleni!
 
Binafsi nampongeza chongolo kwa moyo wa dhati, uamuzi wa kungatuka ni uamuzi wa busara mno, Amekwisha ona kwa mbali sana ya kwamba wale vijana wasio na adabu wala nidhamu na wenye viburi huenda wakaingizwa chamani, ya nini kuja kuvunjiana heshima na vijana ambao pengine walikosa malezi na kufunzwa adabu, amengatuka, hana makubwa apangiwe kazi nyingine hana tatizo!
 
Akina nani hao wameendasha ajenda ya kumchafua Chongolo?

Kwamba kwasababu alisikia tetesi za uteuzi wake kutenguliwa, kaamua kujiuzulu mwenyewe baada ya kujitungia uongo wa kujichafua?
 
Dude kubwa linalokaribia kuporomoka. Kila chenye mwanzo kina mwisho...
Ngumu sana

Tokea nisikie jamaa zake walimshauri KM angebaki kitengo tu, je kule kuna vitengo wangapi wanalinda chama kuliko wananchi?

Siysiyemu na kitengo dam dam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…