Nakubaliana na wewe. Ilikuaje Kingmaker JK, wiki iliyopita alalamike kwamba kiongozi mkuu hapokei ushauri wake? Hii inamaanisha nini kwa KingmakerMkuu angalia draft yako vizuri, look at what they are not showing us, that is the bigger picture! Focus on the kingmakers not the kings!
Thubutu, msingehangaika kupika idadi ya wapiga kura, ama kulazimisha kupita bila kupingwa. Kwa taarifa yako zile story za kwamba watu hawapigi kura zilishapitwa na wakati. Watu wanapiga sana kura na ndio maana tunashudia mabox ya kura za wizi, mara wakurugenzi wanakwepa kupokea form za wagombea wa upinzani, sijui wapinzani wanatekwa na ushenzi kama huo.Hamjawahi kuwa na kura za kutosha na wengi wenu hawapigi kura hufurahia amsha amsha za kampeni mwisho wa siku hawana muda wa kupoteza kwenye fuleni!
Mkuu naona umemnukuu Rais mustaafu JK out of context. Nakushauri urudie kumsikiliza kuanzia mwanzo.Nakubaliana na wewe. Ilikuaje Kingmaker JK, wiki iliyopita alalamike kwamba kiongozi mkuu hapokei ushauri wake? Hii inamaanisha nini kwa Kingmaker
DuuhZilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Huyu anamringi huenda akawa na huruma kwa watanzania.View attachment 2828819
Tumepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia.
Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika.
(Haya ni maneno ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mbowe kasema atashiriki kuanzia serikali za mitaa mpaka uchaguzi mkuu wacha tuone watakachovuna!Thubutu, msingehangaika kupika idadi ya wapiga kura, ama kulazimisha kupita bila kupingwa. Kwa taarifa yako zile story za kwamba watu hawapigi kura zilishapitwa na wakati. Watu wanapiga sana kura na ndio maana tunashudia mabox ya kura za wizi, mara wakurugenzi wanakwepa kupokea form za wagombea wa upinzani, sijui wapinzani wanatekwa na ushenzi kama huo.
Kwa Sasa hizo chaguzi za kishenzi hakuna mtu anayejitambua atakuwa nazo, machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatakitoa hiki chama kinachonajisi chaguzi za nchi hii.
We dada emu nipumzisheVipi kajaaliwa au ndo kibamia ?
Duh 🙄 !!Zilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Check pmNitumie PM
Mbowe ana ushawishi gani labda? Anaweza kushiriki yeye na chama chake, lakini hakuna wapiga kura wajinga wa kwenda kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Yeye Mbowe mwenyewe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm. Afanyie kazi kwanza hilo kabla hajaita watu wakapoteze muda kwenye huo upuuzi.Mbowe kasema atashiriki kuanzia serikali za mitaa mpaka uchaguzi mkuu wacha tuone watakachovuna!
Chama kilikwisha graduate kwa mujibu wa Lowassa na Mbowe sasa huo uwana harakati mnaoutaka nyinyi kwa sasa hauna nafasi na Mbowe ndiye mwenye ushawishi mkubwa na wafuasi watiifu kura watapiga bila kipingamizi tenq kwa wingi wao usisahau Halima mdee & the gang wanawakilisha cdm bungeni!Mbowe ana ushawishi gani labda? Anaweza kushiriki yeye na chama chake, lakini hakuna wapiga kura wajinga wa kwenda kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Yeye Mbowe mwenyewe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm. Afanyie kazi kwanza hilo kabla hajaita watu wakapoteze muda kwenye huo upuuzi.
Mbowe ndio mwenye ushawishi watu wakapoteze muda kwenye chaguzi za kishenzi? Kama mnategemea Mbowe aendelee kuwajazia wapiga kura vituoni kwenye chaguzi za kipuuzi, mdaini hela yenu mapema maana itapotea Bure. Wajinga wa hivyo hawapo tena.Chama kilikwisha graduate kwa mujibu wa Lowassa na Mbowe sasa huo uwana harakati mnaoutaka nyinyi kwa sasa hauna nafasi na Mbowe ndiye mwenye ushawishi mkubwa na wafuasi watiifu kura watapiga bila kipingamizi tenq kwa wingi wao usisahau Halima mdee & the gang wanawakilisha cdm bungeni!
Mapinduzi hiyo ni hatua ni hatua ya mwisho ya kuuchoka utawala je Tz imefikia hali hiyo jibu bado jeshi na wananchi walio wengi bado wana imani na wanaiamini chama na serikali yao adhimu je ujasiri wa kutoka barabarani unao?jibu huna tuliona mlimuacha peke yake tundu lissu akikimbilia ubalozi wa ujerumani alipowahamasisha mtoke hivyo uyawazayo bado sana.Mbowe ni kiongozi mwenye maono anaipenda nchi yake na ana biashara zake hataki zipotee!Mbowe ndio mwenye ushawishi watu wakapoteze muda kwenye chaguzi za kishenzi? Kama mnategemea Mbowe aendelee kuwajazia wapiga kura vituoni kwenye chaguzi za kipuuzi, mdaini hela yenu mapema maana itapotea Bure. Wajinga wa hivyo hawapo tena.
Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Huyo Lowassa ni tapeli wa kisiasa kama matapeli wengine. Hata sijui nani ana muda na ushauri wake.
We poyoyo kuna anaechunguzwa akiwa madarakani?
Kaimu anakaimu wakati KM amesafiri au anaugua. Lakini kwa huyu Chongolo ameondoka na hayupo. Samia kampa Anamringi kama probation, akikidhi anaachiwa moja kwa mojaNi suala la kanuni tu kwamba asipokuwepo katibu mkuu naibu katibu mkuu bara ndo anakaimu maana yake huwezi kumruka ukampa wa chini yake.