HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 549
je kwakuwa mh,kinana alikiri kampuni yake kuhusika na usafirishaji wa nyara za serikali anayoisimamia na kwa kuwa yeye hivi sasa ni katibu mkuu wa ccm ,je mh.kinana anasimamia kauli ipi kati ya kukubali kuwa kampuni ilihusika au kuachia nyadhifa zake alizonazo hivi sasa ili kuepuka aibu inayomtesa hivi sasa , na je tutamwamini vipi kuhusu rasilimali zetu hapo nchini na ni ipi kauli yake ka ti ya say no to poaching ......nawakilisha ...naomba thread hii ipewe ulinzi
ssm wote ni wezi, karibu asilimia 90 ya nec ya ssm. Wanatumia pesa za wizi wa nyara za serikari kuwahonga watanzania maskini na wapenda mteremko wasio na elimu ya uraia.