Katibu Mkuu CCM Taifa na Sekretarieti ya CCM Taifa kufanya ziara mkoa wa Simiyu

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,128
Reaction score
1,896
IMG-20220125-WA0043.jpg
 
CCM inachanja mbuga karibu kila mkoa ila CHADEMA wote wako kwa Mbowe halafu Uchaguzi ukija mnasema kura zimeibwa,

Daaah wonders shall never end 😛😛
 
Daaah wonders shall never end [emoji14][emoji14]
Furahi Basi,[emoji1][emoji1][emoji1]
 
CCM inachanja mbuga karibu kila mkoa ila CHADEMA wote wako kwa Mbowe halafu Uchaguzi ukija mnasema kura zimeibwa,

Daaah wonders shall never end 😛😛

Wakijaribu kufanya mkutano wazee wa PGO na bendera nyekundu mabomu ya machozi au nasema uongo ndugu zangu
 
CCM inachanja mbuga karibu kila mkoa ila CHADEMA wote wako kwa Mbowe halafu Uchaguzi ukija mnasema kura zimeibwa,

Daaah wonders shall never end [emoji14][emoji14]
Wajanja wanachanja mbuga kuimarisha taasisi yao ili waendelee kula maisha mazezeta hapa JF yanashabikia kwa kuinanga Chadema huku yakizidi kuwa masikini siku hadi siku!

Ujinga ni ugonjwa mkubwa sana![emoji26]
 
CCM inachanja mbuga karibu kila mkoa ila CHADEMA wote wako kwa Mbowe halafu Uchaguzi ukija mnasema kura zimeibwa,

Daaah wonders shall never end 😛😛
Hawana Agenda ndio sababu, Kitakachotokea kwao ni agenda kwa wakati huo,
 
Back
Top Bottom