Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukweli mchunguTunachotakiwa kufahamu ni kwamba anayesikiliza hii kesi anaitwa jaji lakini siyo jaji. Huyu ni miongoni mwa maafisa qa TISS walioingizwa na marehemu kwenye mahakama.
Hakuna chochote atakachoamua kilicho kinyume na maelekezo ya ikulu. Anachofanya, tujue ndicho walichokubaliana kufanya.
Ikulu imeshtaki, ikulu inatoa ushahidi, ikulu ndiyo inayoamua. Mawakili wa utetezi endeleeni kufanya kazi ili kudhihirisha uovu wa ikulu, lakini siyo kutarajia huyu jaji eti atoe hukumu kwa kutegemea hoja zenu.
Kwa hiyo Marehemu ndio anatoa maagizo kuhusu hii kesi?Tunachotakiwa kufahamu ni kwamba anayesikiliza hii kesi anaitwa jaji lakini siyo jaji. Huyu ni miongoni mwa maafisa qa TISS walioingizwa na marehemu kwenye mahakama.
Hakuna chochote atakachoamua kilicho kinyume na maelekezo ya ikulu. Anachofanya, tujue ndicho walichokubaliana kufanya.
Ikulu imeshtaki, ikulu inatoa ushahidi, ikulu ndiyo inayoamua. Mawakili wa utetezi endeleeni kufanya kazi ili kudhihirisha uovu wa ikulu, lakini siyo kutarajia huyu jaji eti atoe hukumu kwa kutegemea hoja zenu.
Sawa na kwa namna hiyo hiyo Mbowe si Mwenyekiti bali ni mmiliki wa CHADEMA na GaidiTunachotakiwa kufahamu ni kwamba anayesikiliza hii kesi anaitwa jaji lakini siyo jaji. Huyu ni miongoni mwa maafisa qa TISS walioingizwa na marehemu kwenye mahakama.

====