johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
labda ana fungu la 10 toka kwao ndio maana kajiapiza hivyoNdugai kaapa kuwalinda hadi kufa kwake
hivi lile file lake pale mirembe huwa wanali update au lipo vilevile
Hawala yangu usiniagushe tafadhaliWabaki tu sababu wanawakilisha Chadema nchi nzima wakiondolewa tutegemee wengi kuletwa toka kilimanjaro na hawara zao na wake zao viogozi wa kamati kuu
Ukipenda ua penda na boga lake bwasheeNdugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana.
Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi inatafuta pa kuangamiza.
Chukua mazuri ya mtangulizi wako na yale mabaya liachie bunge, mikono yako ni misafi usiitie najisi.
Hizo nafasi 19 za ubunge ni Wananchi walipanga foleni wakaipigia kura Chadema kwa upande wa Rais na wabunge, ni haki yao mbele ya Mungu wa mbinguni.
Siasa siyo uadui.
Kazi Iendelee!
Muda mwingine unakuaga na akili jaribu kuwafundisha na wenzio sasa.Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana.
Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi inatafuta pa kuangamiza.
Chukua mazuri ya mtangulizi wako na yale mabaya liachie bunge, mikono yako ni misafi usiitie najisi.
Hizo nafasi 19 za ubunge ni Wananchi walipanga foleni wakaipigia kura Chadema kwa upande wa Rais na wabunge, ni haki yao mbele ya Mungu wa mbinguni.
Siasa siyo uadui.
Kazi Iendelee!
Akili za ajabu hizi.utawala uliopita mwendazake alijaza wasukuma mbona hatukusema.Wabaki tu sababu wanawakilisha Chadema nchi nzima wakiondolewa tutegemee wengi kuletwa toka kilimanjaro na hawara zao na wake zao viogozi wa kamati kuu