Katibu mkuu kilimo tunasubiri majibu yako juu ya mikopo kwa wanachuo hususaaan Extension hapa SUA

SIJOMA

Member
Joined
Nov 23, 2014
Posts
17
Reaction score
3
Wiki iliyopita katibu mkuu kilimo... Alikuwepo hapa SUA na watafiti wa mambo ya kilimo toka ng'ambo wakizungumzia namna gani wakulima nchini wapige hatua kwa kilimo. Baadae wanaosoma Bsc, Applied Agricultural Extension walimuuliza ni kwa nn wanaosoma progm hii hawapewi mikopo alijibu " Kila halmashauri hupewa pesa ili kuwalipia watumishi walio kazini, hata hivyo aliahidi kufuatilia haraka maana PM alishaagiza hivyo" lakini mfano, woote waliotoka kazini hakuna aliyelipwa na h/shauri swali je, halmashauri wamepuuza agizo la OWM-TAMISEMI? Tunasubiri majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…