Katibu Mkuu Mteule CCM ndie ataratibu mchakato wa kupata wagombea 2025 - busara itumike kumpata

establishment

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
1,632
Reaction score
2,435
1. Katibu Mkuu (Afisa Mtendaji Mkuu/CEO) ndie atakayeratibu zoezi la kupata wagombea nchi nzima.

2. Apatikane Kiongozi Makin, mtulivu, Msomi na mwenye uzoefu katika Siasa na uongozi.

NB: Akitokea Zanzibar (sehemu ya Muungano) sio dhambi.
 
Hapo akae mzee Stephen wasila a.k.a the undisputed boxer
 
Mbona zile ziara za mwenezi za kutoa maagizo kwa viongozi wa serikali zimeisha ghafla?
Nani kamkata ngebe kijana wa Kolomije?
Au Kuna mtu kaona dogo anazidi kupata umaarufu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…