Mwesigwa alichokifanya ni kumjibu Jerry Muro. Alitakiwa ajibu hoja za Jerry Muro.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, katibu mkuu wa TFF amemjia juu Jerry Muro mkuu wa kitengo cha habari cha Yanga kuwa ni mbumbumbu na mtu asiyejua mambo ndio maana yeye peke yake kati ya viongozi wa Yanga ndio anaendelea kupiga kelele kuhusiana na mechi za Yanga.
Hii si kawaida kwa Mwesigwa ambaye ana haiba ya upole, uungwana na huzungumza kwa tahadhari kubwa kila mara. Lakini leo wakati akizungumza na kituo cha Clouds FM kuhusu haki za matangazo ya television za mechi za Yanga ktk kombe la Shirikisho, amejibu lawama za Jerry Muro na kumwita mbumbumbu, kwa kuwa hawakuhudhuria semina za CAF na haonekani kujua vitu vingi.
Jeri muro ni mbishi, mbumbumbu na mwenye majivuno. Kwenye mpira kiongozi wa club huwezi kubishia maamuzi na kanuni za wazi za CAFU na FIFA. Hii yaonyesha viongozi wa vilabu vya soka tulio nao. Anajivunia masters hajui watu wanaongelea PhD na post doc though waweza kuwa na hivi vyote bado mtu mwenye diploma akawa na weredi na uelewa zaidi.Mwesigwa alichokifanya ni kumjibu Jerry Muro. Alitakiwa ajibu hoja za Jerry Muro.
Mwesigwa alichokifanya ni kumjibu Jerry Muro. Alitakiwa ajibu hoja za Jerry Muro.
muro kiazi sana yule jamaaEti Yanga ni kubwa kuliko Caf[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Eti Yanga ni kubwa kuliko Caf[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Mmmmmmmh, je, ni kweli JERRY MURO amesema YANGA ni kubwa kuliko CAF?????????? jamani, siamini hivyo....
Ni kweli amesema hivyo, watu wengi wamebaki vinywa wazi