Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Suzan Kunambi amewataka wananchi wa kata ya Kilimani mkoani Dodoma kuacha mzaha katika upigaji kura ikiwa ni fursa kwao kuchagua kiongozi bora.
Akizungumza na wananchi wa kata hiyo jijini Dodoma amesema Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania hakijawai kudharau chaguzi zozote zile.
Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Sisi Chama cha Mapinduzi hatujawai kudharau kura ya mwananchi, tunaheshimu chaguzi zenu, na ndio maana hatujawai kushindwa, tuache kufanya mzaha, sisi chaguzi sio mzaha, tusifanye mchezo huo, na kata hii ya Kilimani ni kata ya heshima, viongozi karibu wote wa chama wanaishi hapa kwa hiyo tunapaswa kushinda ushindi wa heshima,” amesema Kunambi.