Uchaguzi 2020Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya ACT
Leo tarehe 20 Julai 2020, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.