Simbachawene aliwahi kusema Serikali inapendelea kuajiri failures katika Jeshi la polisi kwa sababu wana utii kulinganisha na waliofaulu ambao mara nyingi huhoji amri wanazopewa!Nilivyolisikia lile tangazo, nilijiukiza sana, hivi kweli jeshi la Polisi halina watu wenye akili, maarifa na upeo wa mambo? Inakuwaje mtu kama Muliro, mtu ambaye inaonekana hana uelewa kabisa wa taratibu za mahakama, kuwa na nafasi kubwa kiasi hicho ndani ya jeshi la polisi?
Court hearing ni public event, mtu yeyote anaruhusiwa kwenda kusikiliza kesi. Atazuiwa kuingia ukumbini kwa sababu tu ya ukosefu wa nafasi. Inapobidi, watu wanaweza kuwekewa hata screens nje ya ukumbi wa mahakama ili kushuhudia mwenendo wa kesi. Sasa huyu Muliro, anaropoka tu, bila kujitambua.
Simbachawene aliwahi kusema Serikali inapendelea kuajiri failures katika Jeshi la polisi kwa sababu wana utii kulinganisha na waliofaulu ambao mara nyingi huhoji amri wanazopewa!
YULE MUHA HANA AKILIKatibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu.
Katibu Mkuu huyo amehoji Kamanda Murilo ametumia sheria gani? Amemtaka Murilo ajitokeze hadharani kueleza sababu ya kutaka kuwazuia wananchi kwenda kumuona na kusikiliza mwenendo wa mashtaka wa mpendwa wao. Aidha amelitaka Jeshi la polisi kujitenga na mambo ya kisiasa na kuanzisha vurugu.
Ndiommh amewataka tena?
Watendaji wajinga wanateuliwa na wanasiasa wajingaNilivyolisikia lile tangazo, nilijiukiza sana, hivi kweli jeshi la Polisi halina watu wenye akili, maarifa na upeo wa mambo? Inakuwaje mtu kama Muliro, mtu ambaye inaonekana hana uelewa kabisa wa taratibu za mahakama, kuwa na nafasi kubwa kiasi hicho ndani ya jeshi la polisi?
Court hearing ni public event, mtu yeyote anaruhusiwa kwenda kusikiliza kesi. Atazuiwa kuingia ukumbini kwa sababu tu ya ukosefu wa nafasi. Inapobidi, watu wanaweza kuwekewa hata screens nje ya ukumbi wa mahakama ili kushuhudia mwenendo wa kesi. Sasa huyu Muliro, anaropoka tu, bila kujitambua.
Wanasiasa na viongozi wajinga wanaogopa sana kuongoza watu waelewa na wanaojitambua!Watendaji wajinga wanateuliwa na wanasiasa wajinga
Hawa makamanda wa jeshi la polisi wengi wao ni makada watiifu wa CCMKatibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu.