Katibu Mkuu wa CCM amesema CCM itafanya marekebisho ya Katiba yao.

Tutafahamu kesho.
Katiba ya CCM inarekebishwa.
Inarekebishwa nini tutafahamu kesho.
 
Labda wanaondoa ukomo wa uongozi ili wafie hapo kama Mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…