peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Yupo anakamilisha hati ya hatua kwa wote waliotajwaKatibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG.
Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi.
Anayejua aliko tafadhali!
Sasa hivi anajitokeza kwa kuviziaKatibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG.
Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi.
Anayejua aliko tafadhali!
Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG.
Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi.
Anayejua aliko tafadhali!
Yupo ofisini kwake makao mkuu
Yupo kajaa tele anatengeneza script ya kuzunguka nayoKatibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG.
Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi.
Anayejua aliko tafadhali!