Katibu Mkuu wa CCM, DKT Bashiru Ally anawatakia krismas njema

Ameweka rekodi huyu nshomile, amedumu kwenye ile nafasi kwa wiki sijui 4? Bado yule chakubanga na ma V8 yake!
 
Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera.

Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.View attachment 977011
Daah! Hatimaye naye amefukuzwa kwenye bustani ya Eden. Naye kuanzia sasa atakuwa anawaonea tausi kwa mbaali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…