BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Leo Jumanne Februari 22, 2022 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Barabara ya Uongozi yenye Km 1.8 Mjini Kibaha kuanzia saa 3 na nusu
Uzinduzi huu wa Barabara utarushwa Mbashara kupitia Channel 10, TBC, Wasafi TV pamoja na Mitandao ya Kijamii ya CCM.
Karibu kufuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja kutoka Kibaha.
Uzinduzi huu wa Barabara utarushwa Mbashara kupitia Channel 10, TBC, Wasafi TV pamoja na Mitandao ya Kijamii ya CCM.
Karibu kufuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja kutoka Kibaha.