Katibu Mkuu wa CCM taifa, Daniel Chongolo afanya mazungumzo maalumu na Joel Nanauka

the horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
652
Reaction score
442
KATIBU MKUU WA CCM TAIFA CDE DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO MAALUMU NA JOEL NANAUKA, DODOMA.

28.03.2022

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Cde Daniel Chongolo, Leo amekutana na Ndg Joel Nanauka na kufanya naye mazungumzo katika ofisi Kuu za CCM jijini Dodoma.

Katika mazungumzo hayo wamejadiliana mambo mbalimbali ikiwemo mchango wa Ndg Nanauka katika program mbalimbali za uimarishaji wa chama kwa ujumla na program maalumu zinazohusu vijana.

Ndg Joel Nanauka , alimpongeza Katibu Mkuu kwa kazi kubwa anayofanya na alimhakikishia kuwa yuko tayari kuendelea kutoa mchango wake kwa chama kuanzia ngazi ya Taifa hadi chini kabisa Kama ambavyo amekuwa akifanya siku zote.

Ndg Nanauka ambaye ni balozi wa Mtwara, alitumia nafasi hiyo pia kuwasilisha mambo mbalimbali ya kisekta yenye manufaa kwa mkoa wa Mtwara.

Baada ya Mazungumzo, Ndg Nanauka alimkabidhi Katibu Mkuu Zawadi ya baadhi ya Vitabu alivyoandika na kumtakia kila la Kheri katika mkutano Mkuu maalumu wa CCM Taifa unaofanyika tarehe 01.04.2022.
@joelnanauka_

Mtwara Online Tv
Habari Kiganjani Kwako

IMG-20220329-WA0030.jpg
 
Huyo Joel Nanauka ni nani?

Ana wakilisha nini katika nchi hii?

Habari hii ina msaada gani kwa nchi hii kimaendeleo?

Acheni kulazimisha
 
Huyu si alikua chadema kumbe alitimkia CCM tayari? Ni motivation speaker mzuri ila sijui nani Alisema ukiwa motivation speaker basi unajua Kila kitu hasa uongozi au kushawishi watu!!!

He's not relevant anymore maana ukiwa hauna principal unazisimamia kma mwanasiasa then hauna la kuwaambia WaTanzania.
 
KATIBU MKUU WA CCM TAIFA CDE DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO MAALUMU NA JOEL NANAUKA, DODOMA.

28.03.2022

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Cde Daniel Chongolo, Leo amekutana na Ndg Joel Nanauka na kufanya naye mazungumzo katika ofisi Kuu za CCM jijini Dodoma.

Katika mazungumzo hayo wamejadiliana mambo mbalimbali ikiwemo mchango wa Ndg Nanauka katika program mbalimbali za uimarishaji wa chama kwa ujumla na program maalumu zinazohusu vijana.

Ndg Joel Nanauka , alimpongeza Katibu Mkuu kwa kazi kubwa anayofanya na alimhakikishia kuwa yuko tayari kuendelea kutoa mchango wake kwa chama kuanzia ngazi ya Taifa hadi chini kabisa Kama ambavyo amekuwa akifanya siku zote.

Ndg Nanauka ambaye ni balozi wa Mtwara, alitumia nafasi hiyo pia kuwasilisha mambo mbalimbali ya kisekta yenye manufaa kwa mkoa wa Mtwara.

Baada ya Mazungumzo, Ndg Nanauka alimkabidhi Katibu Mkuu Zawadi ya baadhi ya Vitabu alivyoandika na kumtakia kila la Kheri katika mkutano Mkuu maalumu wa CCM Taifa unaofanyika tarehe 01.04.2022.
@joelnanauka_

Mtwara Online Tv
Habari Kiganjani Kwako

hivi ni nani anafanya hii chama iwepo
Au basi
 
Hata Mimi sifahamu vizuri. Ila nasikia kuna balozi ananuka toka Mtwara.
Nanauka balozi wa nini tena.

Mimi namfahamu kama ni mhamasishaji.

Na kuna kitabu chake niliwahi kuwa nacho cha money formula sijui ilikuwaje mpaka akawa balozi wa mtwara
 
Naona umekuja kujipigia Promo...,, uko sahihi tu coz Wajinga siku zote ndio wanaoliwa...

In fact watu kama wewe ni msaada sana kwa sisiemu,, endelea hvohvo hayo mapambio ipo siku watakufikiria kwenye teuzi zao.

Na hicho cheo ulichojipa cha Balozi wa Mtwara endelea nacho.

A N G A L I Z O: Jitahidi kula kadri ya urefu wa kamba yao BUT Never ever usipende kuongea wakati wa kula, wakubwa zako hawapendi.

Nchi ya hovyo sana hii.
 
Huyo Joel Nanauka ni nani?

Ana wakilisha nini katika nchi hii?

Habari hii ina msaada gani kwa nchi hii kimaendeleo?

Acheni kulazimisha
Motiveshino spika mkuu halafu anauza vitabu vyake,ukivisoma eti unatoboa maisha.
Sasa sijui ni kwa Nini havisomi ili atoboe.
Kuna jamaa aliandika how to make money Sasa si akakosa hela ya kuchapisha. Akamcheki mshikaji wake amuazime hela akachapishe kitabu auuze. Akamwambia kuwa akasome icho kitabu ili apate icho kitabu
 
Great. Tuna hazina kubwa nchini ya watu kama kina Joel ambayo haitumiki ipasavyo.

Watu kama hawa wakitumika vizuri kuwajengea uwezo wanachama na viongozi wa chama hasa UVCCM itasaidia sana kuboresha uwezo wao wa kutizama mambo, na ukiweza kuboresha mitizamo na fikira za viongozi wa vyama vya siasa kwa namna chanya, unakuwa uneshapiga hatua kubwa sana kuelekea kwenye mafanikio ya nyanja zote.
 
CCM kakika promotion materials zake kama kofia, T-Shirt fomsiksi, madela nk
Wasisahau backpacks zisizo na rangi ya chama, zitakuwa za msaada muda si mwingi ujao.
 
Back
Top Bottom