Katibu Mkuu wa CHADEMA anaongea na wanahabari

Hizo nafasi zilizowazi ni kuwa hazina mgombea ama?
 
Ninahisi kabisa mbowe atakuwa anayafanya hayo haswa kwenye uhongaji
 
Huu uchaguzi ni kama upizani (Lisu) vs chama tawala (Mbowe) hapa mwenye influence kubwa kwa wapiga kura ni Mbowe, supporter wa Lisu walio wengi ni keyboard worrior wa kwenye social media ,all in all Mbowe amesema uchaguzi utakuwa wa uwazi na ukweli hapo ndipo itajulikana mbivu na mbichi.
 
Huyu naye alishapoteza imani kwa wanachama, amepoa sana na nadhani pesa za Abdul kupitia kwa Mbowe zimemlegeza sasa yupoyupo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…