Katibu Mkuu wa CHADEMA anaongea na wanahabari

Naona kama hujuma zinaandaliwa, wazee hao watakuwa wa Mtei. Uzuri Lissu havungi, kama kuna hujuma atasema tu tena mapema.
Mropokaji labda aletewe Raia wa Belgium ndio ataridhika.
 
Katibu kwani inapigiwa kura?
 
Angesema idadi ya mwenyekiti tunaye lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…