johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mahakama ya Kisutu jana ilielezwa kuwa mshtakiwa JJ Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA ameshindwa kuhudhuria kesi baada ya kufiwa na baba yake mdogo huko Misungwi mkoani Mwanza.
Mazishi yalifanyika jana.
Mungu ampumzishe kwa amani
Source: Star Tv
Mazishi yalifanyika jana.
Mungu ampumzishe kwa amani
Source: Star Tv