johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe si mmoja wa wapika propaganda kuwa Mnyika ni mchaga/wa kaskazini? Leo unaona soni kwa roporopo zako. Pole mtani wangu John John MnyikaMahakama ya Kisutu jana ilielezwa kuwa mshtakiwa JJ Mnyika ambaye ni katibu mkuu wa CHADEMA ameshindwa kuhudhuria kesi baada ya kufiwa na baba yake mdogo huko Misungwi mkoani Mwanza.
Mazishi yalifanyika jana.
Mungu ampumzishe kwa amani
Source Star tv!
Dah.. Mambo mengine sio yakuleta hapa..
Kufiwa na baba mdogo kila mtu akipost itakuwashuhuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah.. Mambo mengine sio yakuleta hapa..
Kufiwa na baba mdogo kila mtu akipost itakuwashuhuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa maada alikuwa anaelezea kilichojitokeza mahakama leo sasa ulitaka asema "leo mahakama ya kisutu watu ni wengi"kama uzi haukufurahishi sio lazima kucomment.Dah.. Mambo mengine sio yakuleta hapa..
Kufiwa na baba mdogo kila mtu akipost itakuwashuhuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee kwani wote wanaofia Mwanza ni wasukuma?!Wewe si mmoja wa wapika propaganda kuwa Mnyika ni mchaga/wa kaskazini? Leo unaona soni kwa roporopo zako. Pole mtani wangu John John Mnyika
Mnyika siyo " kila mtu" bwashee!Dah.. Mambo mengine sio yakuleta hapa..
Kufiwa na baba mdogo kila mtu akipost itakuwashuhuli
Sent using Jamii Forums mobile app