J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 19, 2020 #1 Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika leo amehojiwa na Takukuru kuhusiana na swala la makato ya fedha za wabunge wanaowakilisha wananchi kupitia chama hicho. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika leo amehojiwa na Takukuru kuhusiana na swala la makato ya fedha za wabunge wanaowakilisha wananchi kupitia chama hicho. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!