Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Nyie mwisho wenu ni kumfukuza balozi wa Burundi na wanaofanana waburundi Ila hatuna ubavu kwa Mabeberu hayo, Kama unabisha nyoosha hata unywele tu 🤔🤔🤪🤪🤪
 
Huyo akili zake zipo kwenye tundu la kutolea uchafu.
 
Kila mtu ni maiti mtarajiwa

wewe uliye hai una nini?

taratibu za kimataifa zinasemaje? Maana kama huelewi hata hizi basics basi huna maana
 
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Haupo uwezo huo,wamevunja sheria ipi? Umesikia wakiongea chochote juu ya kesi hii?
 
Inaonesha dunia ilishangazwa na madai juu ya kesi ya ugaidi kwa mtu mwenye ushawishi mkubwa wa kisiasa nchini, na mtu mwenye wafuasi maelfu nchini.Simtetei kwa namna yoyote ile,ila ilitakiwa kujiridhisha kwa kiwango kisichoacha shaka hata chembe kabla ya kumtia nguvuni.Mungu ibariki Tanzania,bariki Rais wetu na watanzania wote.
 
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Kwani wakienda kusikiliza na kuangalia mwenendo wa kesi wana kosa gani? Watainfluence hukumu? Mnaogopa nini?
 
This is terrible

hawa jamaa wanakosea sana

Nay. That’s just realpolitik. When you’re the stronger party you don’t bother with diplomatic niceties. You’re above conventions, constitutions and the law. Unafanya unavyotaka. Mnyonge akikutibua unamgonga kwenzi. CCM wanaujua sana ukweli huo.

Kazi kwa serikali ya JMT: inao ubavu wa kujibu?
 
Kila mtu ni maiti mtarajiwa

wewe uliye hai una nini?

taratibu za kimataifa zinasemaje? Maana kama huelewi hata hizi basics basi huna maana
yani nyie mna juwa sheria za kimataifa tu?
yaani una jaribu kusema mavi ya mwingine ni mavi yako ni chakula?
nyie ccm ni moja wapo ya viumbe wa ajabu walio kufa ila bado mnaishi kama mizimu! wanacho fanya wafuasi wenu ni kutambika tu ndio maana hamjazikwa!
ila hawapo mbali kuwazika na kuwasahau!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…