kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Una matatizo ya Akili Wagi hospitaliyani nyie mna juwa sheria za kimataifa tu?
yaani una jaribu kusema mavi ya mwingine ni mavi yako ni chakula?
nyie ccm ni moja wapo ya viumbe wa ajabu walio kufa ila bado mnaishi kama mizimu! wanacho fanya wafuasi wenu ni kutambika tu ndio maana hamjazikwa!
ila hawapo mbali kuwazika na kuwasahau!!
Mkifanya maola wasiingilie lakini kuwafuata haohao mabeberu na bakuli kwenda kuombaomba wawasaidie pesa ya walipa kodi wao na wawekezaji wao ni RUKSA sio?! Makubaliano ya hovyo kabisa!Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?
View attachment 1931752
View attachment 1931754
View attachment 1931755
View attachment 1931756
View attachment 1931760
Subutu!! Ni Baba wa taifa pekee yake aliyekuwa na uthubutu wa kuwatimua mabalozi wa Ujerumani na Uingereza miaka hiyo ya Musaa!Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Balozi mmoja tu?Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?
View attachment 1931752
View attachment 1931754
View attachment 1931755
View attachment 1931756
View attachment 1931760
Wewe umeshaitangazia Dunia kuwa nchi yako kuna magaidi, sasa nao wanahitaji kuwaona hao magaidi wakiwa wamefikishwa Mahakanani kweli na je haki inatendeka kwa hao magaidi ama la. Wakishajiridhisha basi watazishauri nchi zao.Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Lazima useme,sema nakusikiliza.Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?
View attachment 1931752
View attachment 1931754
View attachment 1931755
View attachment 1931756
View attachment 1931760
Tatizo nchi hii, wengi wa wanaCCM na waunga mkono wa kila kitu cha serikali na CCM, akili na uelewa ni mdogo sana.Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Kosa lao ni lipi?This is terrible
hawa jamaa wanakosea sana
Muite dada yako Liberata Mulamula aje awachimbe mkwara tenaMabalozi
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.[/B]
Duuuuu!Hao ndio wahisani wenu... Wanaowasaidia mpaka kujenga vyoo.... Kataeni misaada yao tuone kama watasogeza hata ukucha