Wote?Akimaliza kutoa notisi hiyo na Mabalozi wake pia wanarudishwa nyumbani na ndiyo inakuwa mwisho wa misaada,Uwekezaji na Utalii.Mtakuwa tayari?
Pengine ni vema wanapohudhuria wanajithibitishia ugaidi ili watusaidie kuutokomeza,bado utataka wafukuzwe?
Akili za CCM wanazifahamu wenyewe.
Mliposhtakiwa na Mh.Zitto au Mh Lissu wakati wa Huyo marehemu wenu mnayemtetea humu Jukwaani palikuwa hapatoshi kwa malalamiko yenu,hivyo misaada na serikali ya CCM ni kama uji na mgonjwa.Vipi kuhusu Utalii na Uwekezaji?Mmejiandaaje mkiwatimua Mabalozi wa Ubeberuni?yaaani ni misaada tu imejaa kichwan kwenu mbna jpm aliwatimua, nchi iliendelea tena uchumi ulipaa
Acha wivu kafyeke kule porini majani ni mengi mnafuga nyoka tu.....Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?
View attachment 1931752
View attachment 1931754
View attachment 1931755
Mungu wabariki Wazungu
Mliposhtakiwa na Mh.Zitto au Mh Lissu wakati wa Huyo marehemu wenu mnayemtetea humu Jukwaani palikuwa hapatoshi kwa malalamiko yenu,hivyo misaada na serikali ya CCM ni kama uji na mgonjwa.Vipi kuhusu Utalii na Uwekezaji?Mmejiandaaje mkiwatimua Mabalozi wa Ubeberuni?
Je,huo uchumi uliopaa na nchi kuendelea uliporomoshwa na nini na lini?Tupeane Updates ili tufahamiane.
Saa 24 kula yako hadi wao wachekeHapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.[/B]
"UNALAZIMISHA USEME,' huku ukisema upumbavu?Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlak
Wape mnduku bwasheeMungu wabariki Wazungu
Akipatikana na hatia atandikwe miaka mingi tu jela , kadhalika aachiwe asipopatikana na hatia .Mabalozi swala la ugaidi ni muhimu sana kwao kwa ajili ya usalama wa wao na raia wao. Hukumu ndiyo itawafanya waendelee kuwapo au waondoke. Unapoitangazia dunia kuwa nchini mwako kuna ugaidi ujue huo si bongo muvi hivyo lazima ukubaliane na wasiwasi wa wale uliowalenga, unaweza ukachukua njia ya mkato ukawafukuza nawe ukaendelea na ugaidi wako.
Hizo NDIO Kali za kijinga kabisaza #CHADOMO_FAMILY.Kauli ya kipumbavu kabisa hii
Mungu wabariki Wazungu
Madhala ya chanjo! Wasungu mtawaona kama Mungu! Na nchi mtawakabidhi kwa hiari safari hii.Mungu wabariki Wazungu
Mama asfikiri ataachwa eti kwa sababu ni mwanamke.This is terrible
hawa jamaa wanakosea sana
wa kimataifaKumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?
View attachment 1931752
View attachment 1931754
View attachment 1931755
π π πPolisi pigeni mabomu hapo, kwanini wakusanyike mnyika na mabalozi bila kibali maalum?
Kesi ya mbowe walioitung imewakali vibaya sanaMabalozi swala la ugaidi ni muhimu sana kwao kwa ajili ya usalama wa wao na raia wao. Hukumu ndiyo itawafanya waendelee kuwapo au waondoke. Unapoitangazia dunia kuwa nchini mwako kuna ugaidi ujue huo si bongo muvi hivyo lazima ukubaliane na wasiwasi wa wale uliowalenga, unaweza ukachukua njia ya mkato ukawafukuza nawe ukaendelea na ugaidi wako.
Mhe Mnyika anfanya kitu huitwa "posturing" au "namedropping". Yaani kaona weupe, kajisogeza, kuna mpiga picha, go! Muda haujafika, lori la Segerea halijaja, watu wanafanya chit chat, engage in small talk. Ni kitu kama hivi:Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?
View attachment 1931752
View attachment 1931754
View attachment 1931755
Tatizo mnaichukulia Cdm kama kundi la kuku. Hicho ni chama kina mahusiano kina watu pia. Kama Ccm haitaki wengine wakutane na diplomats . Kwanini tusirudie mfumo wa chama kimoja ?! Wivu tuKumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?
View attachment 1931752
View attachment 1931754
View attachment 1931755