Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chama cha press conference khwiyoooo tumeibiwaaaaaa!Hii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani.
Zaidi angalia hapa
View attachment 3214854
Hawaamini macho yaoHakuna KUPOWA !!!
Wengi wakiokuwa wanamtukana Mbowe hawamjuiBado siamini uchaguzi umeisha kwa amani hivi. Nilitegemea sahivi iwe ni vita kali ya kugawana ofisi kama Maalim Seif na Lipumba. Kudos kwa Mbowe, amefanya mambo yawe smooth sana, a Democratic icon.
biashara tena? Ile saccos iliishia wapi?Mnyika,kapumzike Kaka yangu!
*Biashara ya Lissu utaishi Segerea *
Upuuzi tu!Hii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani.
Zaidi angalia hapa
View attachment 3214854