Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Mikocheni

Chadema inahitajika kusitisha uchaguzi wa ndani ili wajikite kwanza na uchaguzi mkuu wa October 2025.
Vinginevyo,wakiendelea na hali iliyopo sasa,watajikuta, hawana mgombea urais, hawana mbunge Wala diwani hata mmoja nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…