Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa!
Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini kimempata?
Hata wakati ule CHADEMA walivyotangaza maandamano katika mikoa tofauti hakuonekana sana, kulikoni huyu mwamba!?
Hakuna yeyote mwenye mashaka na utimilifu wake katika masuala ya kiongozi, alipokuwa bungeni alikiwasha sana hata baada ya kutoka alikiwasha pia
Ila kwa sasa amekuwa tofauti, hainekani wala kusikika mara kwa mara kama ilivyo kwa katibu mkuu wa CCM kwa sasa
Kwa kweli tunahitaji kuiona combo yake na viongozi wenzake, hasa kipindi hiki tunaelekea uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu! Tujuzane kulikoni huyu mwamba
Zipo tetesi zinazofanana fanana na zile za Peter Msigwa kumhusu ila kwa kuwa hapa jamvini hakuna kinachoshindikana, naamini tutapata taarifa sahihi kumhusu huyu mwamba!!